Ujumbe wa wiki: Hatovunjika ukimkalia

mwamba kwa nini umebadili jina lako la zamani?
 
Mpenzi wangu huwa anasema “Sipoi siboi” 🤣🤣🤣🤣🤣
Unaonekana unahekaheka ambazo wanaume wengi tunazitaka🤝

Kila mwanaume anapenda mwanamke mwenye haiba mbili ya nje mbele za watu na ile ya chumbani mnapokuwa wawili.Mwanamke akiweza kujiweka vizuri katika hizi nafasi mbili🙌🙌🙌🙌
 
Ngoja tuwaulize na hawa wanaume wengine Shyshka Reinhardt na secretarybird - eti hii ni kweli 👆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…