Ujumbe wa leo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,431
BARIKI WALA USILAANI! (Warumi 12:14; Luka 6:28, I kor 4:12,13)
"Wabariki wanaowaudhi, barikini, wala msilaani pia, wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi’’.
Mtume Paulo akiwaandikia Wakorintho jinsi wao walivyofanya anasema; “tukitukanwa twabariki, tukiudhiwa twastahimili; tukisingiziwa twasihi’’.
Na wewe fanya kama Mtume Paulo ukitukanwa kwa sababu ya kuokoka bariki, ukiudhiwa kwa sababu ya wokovu stahimili au vumilia, ukisingiziwa uongo, jifunze kujibu kwa hekima!
 

na akikutemea mate mshukuru..,shukuru kwa kila jambo ka CHADEMA
 
ujumbe mzuri, umenipa upako ghafla..Amen
 

Ujumbe mzuri Mungu akubariki, wakati mwingine wakikusingizia uongo wala hata usitafute maneno ya hekima, nyamaza unamwacha mtetezi wako akutetee maana mtetezi wako yu hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…