Ujumbe wa leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe wa leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Sep 23, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,251
  Trophy Points: 280
  BARIKI WALA USILAANI! (Warumi 12:14; Luka 6:28, I kor 4:12,13)
  "Wabariki wanaowaudhi, barikini, wala msilaani pia, wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi’’.
  Mtume Paulo akiwaandikia Wakorintho jinsi wao walivyofanya anasema; “tukitukanwa twabariki, tukiudhiwa twastahimili; tukisingiziwa twasihi’’.
  Na wewe fanya kama Mtume Paulo ukitukanwa kwa sababu ya kuokoka bariki, ukiudhiwa kwa sababu ya wokovu stahimili au vumilia, ukisingiziwa uongo, jifunze kujibu kwa hekima!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,251
  Trophy Points: 280
  Asante kwa ujumbe mzuri huu wa Neno la Mungu, umebariki siku yangu.
   
 3. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukipigwa shavu la kulia mgeuzie hata la kushoto apige. Samehe hata saba mara sabini. Amen
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  na akikutemea mate mshukuru..,shukuru kwa kila jambo ka CHADEMA
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,251
  Trophy Points: 280
  Nahisi ladha ya siasa na dini
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,251
  Trophy Points: 280
  Naona umeanza kupoteza ladha ya thread
   
 7. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ujumbe mzuri, umenipa upako ghafla..Amen
   
 8. M

  Msindima JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ujumbe mzuri Mungu akubariki, wakati mwingine wakikusingizia uongo wala hata usitafute maneno ya hekima, nyamaza unamwacha mtetezi wako akutetee maana mtetezi wako yu hai.
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,251
  Trophy Points: 280
  AMEN:amen::israel:
   
 10. M

  Mr Me Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukifinywa pasipo au ukinaswa kibao chekelea
   
 11. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mikela asante sana,Mungu wangu akubariki
   
Loading...