ujumbe wa leo

Ngunya1

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
796
Reaction score
1,385
Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye mwenye kiu, ya chemchemi ya maji ya uzima, bure.
7 Yeye ashindaye atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…