Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Leo kuna Mutu naisubiria hapa!
Hiyo Mutu huchangia kila thread inayoanzishwa, Jf photo ndio usiseme kule!
Naishangaa inachungulia na kusoma comment zenu then anapotea kidizaini!
...
Sjui nimwite?!!!!
Sitoweza kulala madhali ushanidokeza,Maaashallah!
Hongera sana Mamaa!!!!
Haya mtoto mzuri hulala mapema! Ili ujiskie vizuri kalale na hii mahabuba: luv youuuuu!
Haya kalale, Ng'ombe akichinjwa usimuone!!!!!!!!!!!!!!!! Coz usijekuota ndoto mbaya!!!!!!!!
Sitoweza kulala madhali ushanidokeza,
Ya kwamba kuna ngombe atachinjwa,
Roho haitotulia mpaka nitakaposhuhudia!!!
Ujumbe umekufika????
Ujumbe murua meupata
Kalamu sitosita kamata
Jinsi moyo unavyotweta
Kwa uchache nipate eleza
JF ni kama bahari pana
MMU wadau twakutana
Kwa hoja tukichagizana
Mawaidha pata elezana
Natamani japo ubeti ongeza
Hapa kalamu ndo lipogoteza
Kwa uchache mepata eleza
MMU sote wenza
Mmmmh!