Duuh!!!!!!
Lovely...GREATE WIT DRIVES AWAY WISDOM... ... Waungwana habarini? Wagonjwa muhali gani? Wapumba.vu poteeni! Inzi mnatujaziaa!!! ... Kuna Memba nawapenda, Siwezi kufanya inda, Hadi mwenyewe naganda, Vile wanavyochangiaa!!! ... Siwezi taja majina, Coz wapo wengi sana, Hata walojiunga jana, Bado nawafagiliaa!!! ... Memba wengine vimeo, Kwa ule upuu.zi wao, Wa kujiona ndio wao, Mwanzo wamejiungiaa!!! ... Wengine ni wanaume, Baba miraba minne, Mshangao kwa wengine, Wanawake kuwadhaniaa!!! ... Hudhaniwa m/ke, Kwa ule uchokunaku wake, Kiburi na pozi zake, Nataka jitongozeaa!!! ... Wengine walinifunza, Kupiga na kupuliza, Hongera nawaongeza, Leo yanajirudiaa!!! ... Mkamilifu hakuna! Hata Asha na Zinduna! Msamaha kuombana, Pale tunapokoseaa!!! ... Sio kiburi na nongwa, Kama mwari wa Usanga! Siwezi kukwita Punga! Bado sijajitafuniaa!!!!!!!! ........ ........ Kunguru muoga hukimbiza ubawa wake!!!!!
...GREATE WIT DRIVES AWAY WISDOM...
...
Waungwana habarini?
Wagonjwa muhali gani?
Wapumba.vu poteeni!
Inzi mnatujaziaa!!!
...
Kuna Memba nawapenda,
Siwezi kufanya inda,
Hadi mwenyewe naganda,
Vile wanavyochangiaa!!!
...
Siwezi taja majina,
Coz wapo wengi sana,
Hata walojiunga jana,
Bado nawafagiliaa!!!
...
Memba wengine vimeo,
Kwa ule upuu.zi wao,
Wa kujiona ndio wao,
Mwanzo wamejiungiaa!!!
...
Wengine ni wanaume,
Baba miraba minne,
Mshangao kwa wengine,
Wanawake kuwadhaniaa!!!
...
Hudhaniwa m/ke,
Kwa ule uchokunaku wake,
Kiburi na pozi zake,
Nataka jitongozeaa!!!
...
Wengine walinifunza,
Kupiga na kupuliza,
Hongera nawaongeza,
Leo yanajirudiaa!!!
...
Mkamilifu hakuna!
Hata Asha na Zinduna!
Msamaha kuombana,
Pale tunapokoseaa!!!
...
Sio kiburi na nongwa,
Kama mwari wa Usanga!
Siwezi kukwita Punga!
Bado sijajitafuniaa!!!!!!!!
........
........
Kunguru muoga hukimbiza ubawa wake!!!!!
Nice one! I wonder, you have plenty of time to write this!
kwani how many minutes does it take to write that poem!!!!!!!!!!!!!!
or I didint catch ur point!!!!!!!!!
Heaven on me today, not on earth! I said, the poem was nice!
hahaaaa........
haya bana weekend njema
Bukheri kabisa besti.....hapa burudani!!Swalamaaaaaa!
Ujumbe umekufika weye?
Bukheri kabisa besti.....hapa burudani!!