Ujumbe kwa Nape na CCM

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,244
Huu ni ujumbe alio uandika mwenyekiti wa CDM Arusha kwenda kwa nape,......
Kuna haja ya kuwepo kwa tambo zote hizi hadi za kuoneshana mabavu ya
jinsi mnavo weza kupigana?


 
Heading Yake ungeweka Ujumbe wa Mwigamba kwa Nape na CCM, vinginevyo wengi wanaupita wakidhania ni thread za kumshauri tu nape n.k. Ni ujumbe wenye changamoto, kwani huu mpambano ni kama pambano la boxing ambapo pande zote mbili huwa zinatoa kauli za ushindi. Tusubiri dakika 90, vinginevyo kila la kheri kwa wagombea wote, hasa ikizingatiwa kuwa siasa za uchaguzi sio ugomvi bali ni ushindani tu wa hoja na kuuza sera.
 
CCM the ridiculous....

 

Attachments

  • ridiculous.jpg
    151.7 KB · Views: 164
Hii ni political psychological war if not torture, ni ujumbe wa kuonya, kutahadharisha, kukumbusha, kutisha, naweza kusema ni ujumbe mahsusi uliolengwa si kwa Nape bali kwa CCM nzima na vyombo vyake vya dola kuwa CCM wasitegemee mtelemko kwa jimbo la Arumeru Mashariki na vyombo vya dola vijiandae kutenda haki.

Nimependa aliposema kwa Arusha CHADEMA NI CHADEMA na CCM NI CHADEMA

Ni kweli kwa Arusha Chadema iko juu iko hadi ndani ya CCM, UVCCM unaweza kumuona mtu kavaa Tshet ya kijani ukadhani ni CCM, ndio maana CCM wameanza kuingiwa hofu na kumgwaya kamanda Lema wanajua alivyoijenga Arusha. Hongera kamanda (Mwigamba), najua walengwa wamekuelewa unasema nini hakuna kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…