Ni nadra sana watu kukasirikia wagonjwa mahututi. Na hizi habari za kusema kuwa ujio wa Lipumba ni gumzo umezifanyia uchunguzi wapi wapi? Mimi navyoijua CUF na kwa kuzingatia maneno yako, lazima utakuwa unaishi Buguruni. Mtu wa buguruni akiona watu wamejaa Bungoni mpk Amana si ajabu akasema mji umefurika.
Mimi binafsi nimeongea na watu wa nyumbani lkn sijasikia mmoja wao akizungumzia huyo mtu. Kama ni special kwako, let it be lkn sio kuwasemea wengine. CUF ilikwishakufa kitambo