Ujinga kuazima gari kwenda kuonana na kidate chako siku ya kwanza
Ujinga kuazima nguo/pochi/viatu kwenda navyo shereheni
Ujinga kujidai kuongea kiingereza wakati upo na wabongo wenzio
Ujinga ni kumponda dem aliekutolea nje.
Ujinga ni kupanda daladala kwa bei isiyo halali.
Ujinga ni kusema nilipata mimba bahati mbaya.
Ujinga ni ujinga tu, kusema ujinga ni ujinga!