Ujinga Ni........

Ujinga ni kujifanya wamasaki kumbe manzese
Ujinga nikuchekacheka kila wakati
Ujinga ni kuwaambia watu waogelee wakati wewe waziri
 
ni ujinga kujifanya una gorofa halafu mafuriko yakija unaanza kuomba msaada! ni ujinga kujidai umenunua gari kumbe la kukodisha
 
....ni kuweka sura ya mrembo kwenye avator wakati una sura kama tangawizi.
 
Ujinga ni kumponda Rooney na Nani wakati walishakupiga 8...!
 
>>Ujinga ni kwenda kanisani/ msikitini kutubu huku ukijuwa baadaye kuna dem utamchapa.
>>Ujinga ni kuwadharau wanawake huku mama yako naye ni mwanamke.
>>Ujinga ni kudharau nchi yako Tanzania huku uwezo hata wa kwenda Kenya huna.
 
Ujinga ni kuandika ujinga kwenye thread ya kijinga iliyoanzishwa na mjinga huku wewe ni mjinga na hujui nini maana ya ujinga
 
ujinga kukataa taarifa ya msiba uliyoletewa, kuwa fulani haiwezekani hajafa wakati ni kweli amekufa.
 

tuliozaliwa tarehe 29 febuary, mwakani hatuna birthday
 
Ujinga ni kutafuta remote ya tv kwa dk 10 wakati tv iko karibu yako
Ujinga ni kupunguza sauti ya redio ili usome meseji
 
Ujinga ni kukuta mlangoni pameandikwa PUSH we una PULL, VUTA we una SUKUMA...
 
Ujinga ni kuchangia mada then una sign out!!!!!!!! While urself ulilog in
 
Ujinga ni kukosoa kila kitu hata visivyo na ulazima
 
sijui na huu ni ujinga!

Unapunguza sauti ya redio ya gari ku-save petrol
unatembelea dim-light ku-save petrol
umekaa na mzazi wako karibu huku unasoma gazeti, mara unaona picha ambayo haijakaa vizuri kimaadili unakimbilia kujificha mbaaaaaali kweli kumbe mzazi wako ni kipofu!
 
unapomunea aibu kipofu!

unapoenda mbali kuongea na simu ili jirani yako asisikie kumbe jirani ni kiziwi!
 
Ujinga ni kupewa degree za bure mpaka ukawa daktar kisa baraza lako la mawaziri na bunge kuna madokta na ma prof wa kutosha
ujinga ni kuilazimisha shlng ishuke mpaka 2950 ifikapo mwez wa march mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…