C choosenCo New Member Joined Oct 24, 2024 Posts 4 Reaction score 2 Oct 25, 2024 #1 Wakuu habari Msaada mchanganuo wa Nyumba vyumba viwili sebure,jiko na store Makadilio vifaa mpaka level ya bati itanigalimu shiling ngapi Location Mbeya mjini
Wakuu habari Msaada mchanganuo wa Nyumba vyumba viwili sebure,jiko na store Makadilio vifaa mpaka level ya bati itanigalimu shiling ngapi Location Mbeya mjini
C choosenCo New Member Joined Oct 24, 2024 Posts 4 Reaction score 2 Oct 25, 2024 Thread starter #2 Mkuje wakuu tumechoka kupanga sasa kah
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 7,039 Reaction score 11,187 Oct 25, 2024 #3 choosenCo said: Mkuje wakuu tumechoka kupanga sasa kah Click to expand... Kwanini ujenge viwili? Jenga vitatu watoto wa kike na kiume hawawezi lala pamoja
choosenCo said: Mkuje wakuu tumechoka kupanga sasa kah Click to expand... Kwanini ujenge viwili? Jenga vitatu watoto wa kike na kiume hawawezi lala pamoja
C choosenCo New Member Joined Oct 24, 2024 Posts 4 Reaction score 2 Oct 26, 2024 Thread starter #4 Nitaongeza baadae
C choosenCo New Member Joined Oct 24, 2024 Posts 4 Reaction score 2 Oct 26, 2024 Thread starter #5 Naangalia uchumi wangu kwa sasa
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 7,039 Reaction score 11,187 Oct 29, 2024 #6 choosenCo said: Naangalia uchumi wangu kwa sasa Click to expand... Ukianza ujenzi utaja gundua ulikuwa unaogopa bure tu
choosenCo said: Naangalia uchumi wangu kwa sasa Click to expand... Ukianza ujenzi utaja gundua ulikuwa unaogopa bure tu
T Team JPM JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 1,303 Reaction score 2,022 Oct 29, 2024 #7 choosenCo said: Wakuu habari Msaada mchanganuo wa Nyumba vyumba viwili sebure,jiko na store Makadilio vifaa mpaka level ya bati itanigalimu shiling ngapi Location Mbeya mjini Click to expand... Nyumba haijengwi anuani hivyo gharama huendana na mazingira. Nenda hapo chuo cha Sayansi MUST. Chukua mwanafunzi wa mwaka wa tatu CIVIL, mpeleke kwenye kiwanja chako. Mpe matarajio ya nyumba yako. Ndani ya siku tatu atakupatia ramani na BOQ.
choosenCo said: Wakuu habari Msaada mchanganuo wa Nyumba vyumba viwili sebure,jiko na store Makadilio vifaa mpaka level ya bati itanigalimu shiling ngapi Location Mbeya mjini Click to expand... Nyumba haijengwi anuani hivyo gharama huendana na mazingira. Nenda hapo chuo cha Sayansi MUST. Chukua mwanafunzi wa mwaka wa tatu CIVIL, mpeleke kwenye kiwanja chako. Mpe matarajio ya nyumba yako. Ndani ya siku tatu atakupatia ramani na BOQ.