Ujauzito

Master mind

New Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
2
Reaction score
2
Habari,

Mke Wangu ni mjamzito ila toka amepata ujauzito nimekuwa nikiumwa magonjwa yasiyoisha sana nimekuwa nisumbuliwa na tumbo Mara kwa Mara imetumia dawa ila wap ila kingine toka amepata ujauzito umepoteza naye hisia kabsa ila hata yenye mwenyew Siku hizi hafiki kama mwanzo je ujauzito unaweza ukawa sababu ya haya
 
Muna shea mimba hiyo kunyw achai ya tangawizi na yey pia anywe chai ya tangawizi itamsaidia na yey kusikia hamu ya tendo la ndoa pamoja na wewe uguwa pole kwa ulezi wa mimba.
 
hehehe pole ngoja minba yake ikomae utakua sawa haya mambo haya mume wangu siku najifungua na yeye alikua anaumwa hoi sjui kuna uhusiano gani
 
Reactions: PYD
Kunakitu alibakiza ukamalizia? Inasemekana kama mwanamke mjamzito akitemea mate kwenye chakula, maji ya kunywa, soda n.k nawe ukanywa mnashea au unambebea mimba! Usishangae kutamani vitu anavyopenda mjamzito wakati wewe dume zima.
 
Mimi wiki ya kwanza kabla ya kujua mke ana mimba from no where nikawa najikuta natamani kula udongo... Yaani najikuta nina hamu ya kula udongo.

Na sasa muda mwingi najikuta nalala lala...

Tofauti yake na wako yeye analalamika sana libido yake imeongezeka...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna kitu mtoa mada mmoja amesema ukimalizia kitu chake mnashare mimba... Mimi kuna siku alinilazimisha kula udongo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…