Ujasusi wa CHADEMA ni utapeli?

Hii ngoma walikuwa wametega wenyewe wakanasa. Si wa kuhangaika nao tena.

Hapa kuna njia mbili za kukwepa kukombe hiki.
1. Wamdedishe saa8 walikomficha au
2. wambalal huko nje asirudi tena mpaka vizazi 6 vipite.

Hii inaitwa jini limetoka ndani ya chungu linang'ata.
 
ACT ni chama kinachouwa vipaji vya vijana Mf Machalli sele na vibaka wengine je hili swala ni kweli?


swissme
ACT inaingiaje? Hapa ni suala la mwenzetu Ben alivyotelekezwa na chama chake. Jikite kwenye hoja na usihamishe magoli upande ambao ni rahisi ww kufunga.
 
CDM wanapita katika wakati mgumu sana kwa wakati huu. Suala hili laweza kuwaimarisha zaidi au kuwabomoa kabisa.
 
wanaogopa zaidi hili..... ulilolitaja kuliko kupotea kwa Ben????? ndio hoja yangu hiyo,,,lakini pia CHADEMA imefanya mangapi yenye kukiuka sheria na misimamo ya serikali??? mbona imefanya hivyo bila kuogopa???
Kama chadema walikuwa majasusi kipindi hicho na leo wameamua kuachana na ujasusi kuna kosa gani hapo!? Kama chadema walikuwa wanakiuka sheria na wameamua kuachana na ukiukaji wa sheria je wewe unaona sahihi waendelee kukiuka sheria!? Je wewe juhudi zako za kumtafuta Ben zimefikia wapi kama mtanzania wa kawaida ukiachana na lawama kwa chadema!? Kwa nini unaamini chadema ndo inawajibu wa kumtafuta Ben kuliko vyombo vya usalama vyenye mamlaka hiyo!?
 
Kwani nani kasema kipindi hicho hawakuwa na hofu na mahakama!?
Kama huwajui wanasheria wa chadema unategemea nikusaidiaje!?
Nini kimebadilika sasa...Mpaka mwanasheria nguli aogope kuhojiwa na polisi?
 
Nitaibadilisha Chadema kutoka Chama cha uhanaharakati na kuwa chama cha suasa-Lowassa 2015
 
Anajua huyo ila anajifanya kipofu na kiziwi tu
Au tumkumbushe jinsi kiongozi wao mkuu walivyomficha kukwepa kukamatwa na polis? Wangemwacha akamatwe tu
 
ungemuelewa mtoa mada kama wewe sio chipukizi katika siasa za Tanzania
Bahati mbaya sijamjibu mtu yeyote kisiasa kwa sababu siasa mi sijui, kama kaleta mada hii kisiasa basi Am very sorry kutojibu kisiasa
 
We nawe zuzu. Unadhani kuwa na mawasiliano inaondoa mtu kudhuriwa? Kumbuka Ulimbokana Mwangosi. Mnapenda sn kujitekenya ili mcheke.

Halafu unataka waje na mawasiliano mapema yote hii kwani walijua atapotea?
 
Bahati mbaya sijamjibu mtu yeyote kisiasa kwa sababu siasa mi sijui, kama kaleta mada hii kisiasa basi Am very sorry kutojibu kisiasa
Rudi kwenye mada....Swali la mleta mada ni moja tu....Ujasiri wao wa kufanya ujasusi na kuanika matokeo yake hadharani umeishia wapi? au zilikuwa ni sinema za kuhadaa umma ambazo kwa sasa zimekosa script writer????
 
Hii ni ajabu kwa chama cha siasa kuchezea maisha ya mtu kwa kutafuta huruma kwa wananchi, mrudisheni Ben Sanane ana familia ina mmiss.
 
Rudi kwenye mada....Swali la mleta mada ni moja tu....Ujasiri wao wa kufanya ujasusi na kuanika matokeo yake hadharani umeishia wapi? au zilikuwa ni sinema za kuhadaa umma ambazo kwa sasa zimekosa script writer????
Na ndo maana nikamkumbushia kuwa wakati wanafanya hayo kipindi hicho hapakuwa na sheria ya wazi ya mtandao, kwa sasa hivi majira yamebadilika kuna sheria ya mtandao ambayo hairuhusu kudukua mawasiliano ya mtu, na hata kama chadema wana hayo mawasiliano anayotaka mtoa mada haiwezekani kuweka hadharani kutokana na sheria iliyopo kwa wakati huu. Unafikiri ujasiri huo watautoa wapi!?
 
Mwembe ukikosa maua husingizia mvua, kulikuwa hauna sheria ya mtandao lakini pia ilikuwa kosa kuingilia faragha ya mtu au mawasiliano ya mtu.
udukuzi niliofanya Mimyi jasusi wa CHADEMA ni kwamba ACT itakimbiwa na wanachama wake wengi na Zitto atahamia CCM 2020 na huo ndiyo utakuwa mwisho wa kikundi hiki cha usaliti.
 
Chadema haifanyi kazi Kwa hisia bali weledi. "Haraka ya mbwa huzaa vipofu" usiwe na haraka Dotto
 
Endelea kuwaza [emoji88]
 
Mwembe ukikosa maua husingizia mvua, kulikuwa hauna sheria ya mtandao lakini pia ilikuwa kosa kuingilia faragha ya mtu au mawasiliano ya mtu.
Kweli mkuu kinachosumbua hapa ni hii sheria nadhani ililetwa kwa minajiri ya haya mambo, si kana kwambwa wadukuzi hawapo, wadukuzi kwa hivi sasa wameongezeka maradufu tatzo faini na kifungo cha kufanya udukuzi maana mamlaka hiyo wamepewa tcra pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…