Elimu ya Tz ni ngumu sana. Inawezekana ila inabidi uwe na kichwa Flexible sana. Na sana sana mtu anaweza kufanya shughuli zake nyingine kama anasoma Evening studies,ila kwa Fulltime inasumbua. Shughuli yoyote unafanya ila ni ile ambayo haikuweki mbali na chuo sana,kama kusafiri.