Msukumo wa kichwa cha chiniNawe ujasiri was kutuma na ya kutolea unautoaga wapi?
Ni kweli ila hadi amepanga kuja kukufyekea kwako basi jua ulikuwa on target.mtu hawezi toka huko tu akaja kukuua.bila sababu mkuuNa wewe mwanaume huo ujasiri wa kumpokea mwanamke ambaye humjui unautoa wapi..? What if amesafiri kwa lengo baya juu yako..? Umewahi kusikia habar za Serial Killers..? [emoji41] Hawa wanapiga matukio ya mauaji hadi waje wakamatwe inachukua miaka mingi na wanakua wameua watu wengi, kwasabab wanatumia akili sana...
Kwahiyo unavyo shangaa huo ujasiri wa mwenzako, jishangae na wewe huo ujasiri wa kumpokea...
All in all lengo lenu ni mapenz kwahio hakuna cha ajabu enjoy
📌🔨Na wewe mwanaume huo ujasiri wa kumpokea mwanamke ambaye humjui unautoa wapi..? What if amesafiri kwa lengo baya juu yako..? Umewahi kusikia habar za Serial Killers..? 😎 Hawa wanapiga matukio ya mauaji hadi waje wakamatwe inachukua miaka mingi na wanakua wameua watu wengi, kwasabab wanatumia akili sana...
Kwahiyo unavyo shangaa huo ujasiri wa mwenzako, jishangae na wewe huo ujasiri wa kumpokea...
All in all lengo lenu ni mapenz kwahio hakuna cha ajabu enjoy
Na sie ni msukumo tu,,lkn hii ni riskMsukumo wa kichwa cha chini
Kubet[emoji23]Shahuku ndio inayo mfanya ME anatuma hiyo nauli kwa upande mwingine tunatumaga tu ila ni kama tunabet.
Ni kweli,but nashauri kabla ya kusafiri kuelekea kuonana na mtu usiyemfahamu ni vizuri kuaga kuwa unaelekea wapi na unaenda kuonana na nani. na ukishafika uendako wajulishe nishafika,nipo sehemu fulani.Ni risk lakini huwaga mnakua very relaxed+comfortable kwa asilimia zote
Hilo ndo la muhimu haswaaah! Ila huwa nawfikiriaga sana nyie mnakuag na ujasiri upi maana mara nyingi nyinyi ndio huwa mnatufataga.Ni kweli,but nashauri kabla ya kusafiri kuelekea kuonana na mtu usiyemfahamu ni vizuri kuaga kuwa unaelekea wapi na unaenda kuonana na nani. na ukishafika uendako wajulishe nishafika,nipo sehemu fulani.
Wabaya ni wengi sana kwa zama hizi.
Yaani hili swali hakuna mwanamke atajibu[emoji23][emoji23]Hilo ndo la muhimu haswaaah! Ila huwa nawfikiriaga sana nyie mnakuag na ujasiri upi maana mara nyingi nyinyi ndio huwa mnatufataga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja wake wazoefu,wa masafa.Bas tuseme huo ujasiri mnao automatically [emoji16] eti?