Huyo jamaa sijui anaongea nini! Wamewatenga sana wazanzibari halafu wanadai wanawasaidia, wakati misaada mingi inatoka Oman,, na wanajua fiika wakiwaachia waomani wataipa sapoti kubwa sana na itakuwa tishio ndani ya Afrika.

Ni wakat sasa hata sisi kujitenga na wazanzibari,
Hakuna faida yoyote tunayoipata zaidi ya kuwapa ajira huku bara na kuwalisha bure,.
Wanakula sana mpunga wetu hasa Wa kyela