Labda ulimwengu wa vita kwa makoloni ya Afrika. UK ni mnyonge sanaaaa ni dhaifu sanaaaaaa kwa RUSSIA. UK hajawahi kusaini mkataba wowote wakupunguza silaha za aina yoyote na russia yule atabaki kuwa mlamba miguu ya US tu.Huna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Uwezo wa Kijeshi wa Kila mmoja Russia na Uingereza
Nguvu za kijeshi na uwezo wa mataifa ya Uingereza na Urusi zinatofautiana kulingana na ukubwa wa jeshi, teknolojia ya kijeshi, bajeti, na mikakati ya vita. Hapa ni muhtasari wa nguvu za kijeshi za kila moja kulingana na data za hivi karibuni:
---
1. Uwezo wa Kijeshi wa Uingereza (United Kingdom)
Idadi ya Watu na Jeshi
Watu walio tayari kwa vita: ~28 milioni.
Wanajeshi wa kudumu: ~195,000.
Jeshi la akiba: ~35,000.
Bajeti ya Kijeshi
Bajeti ya kijeshi: ~$60 bilioni (moja ya bajeti kubwa barani Ulaya).
Silaha na Vifaa
Silaha za nyuklia: ~225 (asilimia 100 ni zinazoweza kuzinduliwa kupitia manowari za nyuklia - Trident submarines).
Ndege za kivita: ~600, ikijumuisha Eurofighter Typhoon na F-35 Lightning II.
Meli za kivita: ~75, ikiwa ni pamoja na manowari 11 na meli 2 kubwa za kubeba ndege (aircraft carriers).
Tangi za vita: ~200.
Nguvu za Teknolojia
Teknolojia ya hali ya juu, hasa katika mifumo ya anga na manowari za nyuklia.
Wanashirikiana na Marekani kupitia makubaliano ya NATO kwa teknolojia za kisasa zaidi.
Mikakati ya Kijeshi
Jeshi la Uingereza lina nguvu ya kutumia teknolojia ya hali ya juu na kujihusisha na vita vya kisasa vya anga na baharini.
Sehemu kubwa ya nguvu zao inategemea washirika wa NATO.
---
2. Uwezo wa Kijeshi wa Urusi (Russia)
Idadi ya Watu na Jeshi
Watu walio tayari kwa vita: ~69 milioni.
Wanajeshi wa kudumu: ~1.1 milioni.
Jeshi la akiba: ~2 milioni.
Bajeti ya Kijeshi
Bajeti ya kijeshi: ~$85 bilioni (bajeti kubwa zaidi barani Ulaya, lakini ndogo kulinganisha na Marekani au China).
Silaha na Vifaa
Silaha za nyuklia: ~5,889 (idadi kubwa zaidi duniani).
Ndege za kivita: ~4,200, ikijumuisha Su-35, MiG-29, na Tu-160 bombers.
Meli za kivita: ~600, ikiwa ni pamoja na manowari za nyuklia 58 na meli 1 kubwa ya kubeba ndege.
Tangi za vita: ~13,000, ikiwa ni pamoja na T-90 na T-14 Armata (moja ya teknolojia mpya kabisa duniani).
Nguvu za Teknolojia
Inalenga zaidi katika mifumo ya makombora ya masafa marefu na teknolojia za nyuklia.
Ina uwezo mkubwa wa kutengeneza silaha ndani ya nchi, hivyo kuwa na uhuru wa kijeshi.
Mikakati ya Kijeshi
Jeshi la Urusi lina mtazamo wa mapambano ya ardhini na mashambulizi ya masafa marefu kwa kutumia makombora na silaha za nyuklia.
Inategemea idadi kubwa ya wanajeshi na silaha nzito.
---
Ulinganisho wa Nguvu
---
Hitimisho
Urusi ina faida kubwa katika idadi ya wanajeshi, silaha za nyuklia, na vifaa vizito kama tangi za vita na ndege za kivita.
Uingereza ina faida katika teknolojia ya hali ya juu, nguvu za majini, na ushirikiano na washirika wa NATO, hasa Marekani.
Hata hivyo, ushindi katika vita hautegemei tu namba au silaha, bali pia mikakati, uungwaji mkono wa kimataifa, hali ya kiuchumi, na malengo ya kisiasa. V
ita vya kisasa kati ya mataifa haya viingeathiri dunia nzima kutokana na silaha za nyuklia wanazomiliki.
Halafu yale machuma chuma ya Old Trafford yanakuwa makazi ya samaki maana yote lazima yatazamishwa😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Kisiwa chenyewe cha UK kipo kama Zanzibar. Bomu moja tu kutoka russia Kisiwa chote kinakuwa kifusi.
Nitajie mtawala wa RUSSIA tafadhali.Nilitaka nimjibu kitu kama hicho. UK wako advanced sana katika mbinu na vifaa vya vita
Pia Britain wana Experience kubwa sana ya Vita tangu karne iliyopita kuliko hata Germans, USA na France...wakiitawala dunia
Mkuu, nimekuona tokea jana nikaamua kukaa kimya kwa vile ulisema unaniheshimu…
Mimi sipo kishabiki, nina maslahi ya moja kwa moja kwenye huu mgogoro. Mafanikio yoyote ya Urusi ni faraja kwangu, pole kwa kukwazika.
Alexander The Great alikuwa Russian kumbe!Na hawajui kuwa sio, Napoleon Bonaparte wa Ufaransa,wala Àlexander The Great wa Russia wala Hitler wa Ujerumani aliyediriki kupigana vita na Uingereza na akashinda. Kama Putin anataka kuuramba moto, ajaribu!
Updates ni kwamba baada ya sarakasi za Oreshnik Russia 🇷🇺 kapanda hadi namba moja USA 🇺🇸 karudi namba 2 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Pili hawajui uingereza ndio chimbuko la mataifa mengi makubwa duniani na hapo awali ndo ilikua super power wa dunia.... watoto wa 2000 hawajui USSR ilikufanye na RUSSIA ni nani!!Watoto wa mwaka 2000s hao,hawajui unyama wa Uingereza kwenye medani ya Vita na fitna.
Bado unaonyesha akili huna hata kwa jibu hiliUK zaman sio sasa hawezi kwenda head to head hata na Turkey mna mawazo ya enzi za kikoloni
Watupe tu siuchumi wetu walihamishia kwao, au hukumbuki.Inakuwaje nchi yako isiyo na jeshi la mashoga inapewa misaada ya kifedha kutoka nchi yenye mashoga ?
Teknolojia gani leiland yanayokwama gear kuigia na landrova zinazovuja oil iwe gear box au engine huyu ndie utuaminishe anateknolojia.Umecheka kwa kuwa we ni mtoto huijui Uingereza vizuri. We umeangalia nini, UK iko juu sana kiuchumi na kiteknolojia kuliko hiyo Russia. Waingereza wajanja sana
Uingereza huyu huyu anayetulisha matango poli ya Russia kutumia makoleo?.Aisee unaielewa Uingeleza katika Vita na fitna kimataifa?
Sasa sijui lugha inapanda Bibie...Hujui hesabu. Tuliza mshono
Inaingia mara 70. Hesabu hamjui kujifanya wachambuzi wa mambo
Uingereza wananini au unaleta historia ya mwaka 1700 wakati huo UK ilikua Super power...wa magoboleNimejikuta nacheka mno mpaka machozi baada ya kusoma kauli ya UK Deputy Chief of Defence Staff Rob Magowan isemayo
"Uingereza ipo tiyari kuingia vitani na Urusi usiku wa leo endapo kama Russia itaivamia Ulaya Mashariki.
View attachment 3159183
“Britain is ready to engage Russia tonight if Russian troops invade Eastern Europe” .
What a joke 😂😂