Kwa tech ilipofika kurahisisha mambo kama unavyorahisisha hapa si salama, uzuri ni kuwa hata hao maadui UK, USA, Urusi na wengine wanaenda kwa step si kwa hizi akili zako.Mwambie Huyo 🤣🤣🤣🤣
Hao wame karili maisha muingereza now days hata akisimama peke yake na Iran lazima jasho la kwapa limtoke inshort uingereza anajua kuwa nyuma yake ana backup ya USA ndio maana huwa USA anapotoa kauli yoyote na yeye anajifanya kufuata mkumbo ila kiuhalisia Hana uwezo wakupigana na Russia kwanza hata katika zile top 5 za nchi zenye uwezo wa Mkubwa wa kivita kwa sasa hayupo aache mbwembwe
Tatizo vijana wa bongo. wanaleta mahaba katika maswala ambayo ni pure facts". Halafu wapo outdated vibaya mno. Materila wanayosoma ni ya karne ya 19 nafikiri.Hata mongolia imeshawahi kuitawala asia na baadhi ya nchi ulaya.
Ottoman empire imeshawahi kutawala eneo kubwa tu kibabe.
Hata roma imeshawahi kutawala dunia.
Acha kutuletea historia uingereza hana chochote cha kumfanya mrusi.
Kadiri unavyopigana vita ndivyo unavyozidi kuwa imara na madhubuti na unapata uzoefu mrusi ana uzoefu na vita.
Wabishi wote wa dunia mrusi kawanyonya kamasi kuanzia napolean bonaparte mpaka adolf hitler.
Nisamehe mkuu. Endelea na ushabiki wako. Ila ipo siku tutazungumza lugha moja hapa hapaMkuu, nimekuona tokea jana nikaamua kukaa kimya kwa vile ulisema unaniheshimu…
Mimi sipo kishabiki, nina maslahi ya moja kwa moja kwenye huu mgogoro. Mafanikio yoyote ya Urusi ni faraja kwangu, pole kwa kukwazika.
Kilichokuchekesha ni nini?Nimejikuta nacheka mno mpaka machozi baada ya kusoma kauli ya UK Deputy Chief of Defence Staff Rob Magowan isemayo
"Uingereza ipo tiyari kuingia vitani na Urusi usiku wa leo endapo kama Russia itaivamia Ulaya Mashariki.
View attachment 3159183
“Britain is ready to engage Russia tonight if Russian troops invade Eastern Europe” .
What a joke 😂😂
Madogo wanaandika kishabiki sana hawajui vita. Na hawaifahamu UK. Wanadhani UK ni kama Iran. Sasa wajiulize UK amesema hivyo Russia atafanyaje sasa.Huna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Enzi hizo sio sasa,,,,, na hao waliwekeza sana kwenye teknolojia ila manpower kwa sasa wanayo ndogo sana UK ya sasa bila marekani ni takatakaHuna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Urusi wasn't a match to a Germany Army hata kidogo..,bila ya US huyo Russia angeshalambishwa chini.Hata mongolia imeshawahi kuitawala asia na baadhi ya nchi ulaya.
Ottoman empire imeshawahi kutawala eneo kubwa tu kibabe.
Hata roma imeshawahi kutawala dunia.
Acha kutuletea historia uingereza hana chochote cha kumfanya mrusi.
Kadiri unavyopigana vita ndivyo unavyozidi kuwa imara na madhubuti na unapata uzoefu mrusi ana uzoefu na vita.
Wabishi wote wa dunia mrusi kawanyonya kamasi kuanzia napolean bonaparte mpaka adolf hitler.
Madogo wa miaka ya 2000s hawa . Hawajielewi wanafikiria vita ni kama match ya Simba na Yanga. Hawaifaham UK. na wanapoona UK ipo kimya haifanyi show off ya silaha wanadhani ni wanyongeKilichokuchekesha ni nini?
Unaifaham vizuri UK au umeamua kujitekenya na kucheka mwenyewe..
Muda wote UK imeshiriki kwenye vita mbalimbali Wana experience ya kutosha kwenye medani,acha utahira wako.
Sasa mbona Hitler mjerumani alipita nao ila akaja kumshindwa Urusi kama kweli hio UK ni wababe,,,,,hao ubabe wao ni zile enzi za bunduki magobole na meli zao zile za mbaoKilichokuchekesha ni nini?
Unaifaham vizuri UK au umeamua kujitekenya na kucheka mwenyewe..
Muda wote UK imeshiriki kwenye vita mbalimbali Wana experience ya kutosha kwenye medani,acha utahira wako.
Mbona huyo US hakuweza kuwasaidia UK, France na mabeste zake wengine ulaya wasisombwe na Hitler, ila ndo akamsaidia urusi?Urusi wasn't a match to a Germany Army hata kidogo..,bila ya US huyo Russia angeshalambishwa chini.
Climatic condition ndiyo ilikuwa shida na si vinginevyo..
Dogo unajidanganya sana. Nyie kizazi cha 2000s hamuifahamu UK. Msione haioneshi silaha zake au inanyamaza mkadhani ni mchekea. Shauri zenu madogo.Enzi hizo sio sasa,,,,, na hao waliwekeza sana kwenye teknolojia ila manpower kwa sasa wanayo ndogo sana UK ya sasa bila marekani ni takataka
Kila taifa na uwezo wake, unataka kuniambia US ha benefit militarily from UK?Enzi hizo sio sasa,,,,, na hao waliwekeza sana kwenye teknolojia ila manpower kwa sasa wanayo ndogo sana UK ya sasa bila marekani ni takataka
Nyie muvi ndo zimewaharibu UK kwa urusi bila ushirika na NATO hana kitu,, Hollywood imewaharibu nyie makubwa jinga mnadhani kikinuka sahivi atatokea james bond huko UKDogo unajidanganya sana. Nyie kizazi cha 2000s hamuifahamu UK. Msione haioneshi silaha zake au inanyamaza mkadhani ni mchekea. Shauri zenu madogo.
Hao wote wanamtegemea US kijeshi,,,,US anafaidika nao kiuchumi,, ndo maana Trump alipowaambia watoe michango sawa NATO wakawa wananuna, sababu kwa asilimia kubwa US ndio NATO yenyewe bila US hakuna NATOKila taifa na uwezo wake, unataka kuniambia US ha benefit militarily from UK?
Soma Historia dogo,US alichokifanya Hiroshima na Nagasaki ndicho kilichowafanya Wajerumani wakate pumzi..lakini US hawakwenda direct kuwasaidia Urusi huko kwao...Mbona huyo US hakuweza kuwasaidia UK, France na mabeste zake wengine ulaya wasisombwe na Hitler, ila ndo akamsaidia urusi?
... yaani hawa jamaa ndo wale waliokua wakitarajia Tyson ashinde lile pambano la juzijuzi! 😅Hata mongolia imeshawahi kuitawala asia na baadhi ya nchi ulaya.
Ottoman empire imeshawahi kutawala eneo kubwa tu kibabe.
Hata roma imeshawahi kutawala dunia.
Acha kutuletea historia uingereza hana chochote cha kumfanya mrusi.
Kadiri unavyopigana vita ndivyo unavyozidi kuwa imara na madhubuti na unapata uzoefu mrusi ana uzoefu na vita.
Wabishi wote wa dunia mrusi kawanyonya kamasi kuanzia napolean bonaparte mpaka adolf Hitler.
Alikata pumzi mjapan sio mjerumani,,,sema tu ni kwamba mjerumani alipoteza mshirika,,,hio front ya Nagasaki haikua ya mjerumani, mjerumani alifocus kuibeba ulaya yote na alishafanikiwa akaja kushindwa alipofika urusi.......na Urusi hana historia hio tu,,,kama unamfahamu Napoleon Bonaparte nae alikichafua sana ulaya ila ubabe wake ukaenda kuishia alipoingia urusi,,........kwenye medani za kivita Urusi ana historia kubwa na ubabe mwingi kuliko nchi yeyote ile ya NATO ,sema wengi hawajui sababu Urusi haina propaganda nyingi kama nchi za magharibi na hawakua na historia ya kwenda kuanzisha ugomvi kwenye nchi za wenzao zaidi ukimchokoza na ukaingilia mambo yake hapo ndo anapoamka tofauti na nchi za magharibi zenye tabia za kigolokoSoma Historia dogo,US alichokifanya Hiroshima na Nagasaki ndicho kilichowafanya Wajerumani wakate pumzi..lakini US hawakwenda direct kuwasaidia Urusi huko kwao...
Hawajui hao,,,,.propaganda za Hollywood zimewaharibuHata mongolia imeshawahi kuitawala asia na baadhi ya nchi ulaya.
Ottoman empire imeshawahi kutawala eneo kubwa tu kibabe.
Hata roma imeshawahi kutawala dunia.
Acha kutuletea historia uingereza hana chochote cha kumfanya mrusi.
Kadiri unavyopigana vita ndivyo unavyozidi kuwa imara na madhubuti na unapata uzoefu mrusi ana uzoefu na vita.
Wabishi wote wa dunia mrusi kawanyonya kamasi kuanzia napolean bonaparte mpaka adolf hitler.
Wewe hujui military history vizuri..Mbona huyo US hakuweza kuwasaidia UK, France na mabeste zake wengine ulaya wasisombwe na Hitler, ila ndo akamsaidia urusi?
Hujui hesabu. Tuliza mshonoUnajuwa GDP isikudanganye unaweza kuwa na kinchi kama Qatar ukaambiwa tajiri number one lakini unagawa na population ya watu nchi haina hata watu million. Hata ukitaka number hizo UK number 7 na Russia 11 kijeshi Russia ana rank nyuma ya USA ila UK ina watu kama milion 70 russia wanagonga 150 huko ki size UK inaingia mara 70 ndani ya Russia.