Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,773
- 3,300
Ujerumani vipi?Katika dunia hii kuna mataifa matatu tu ambayo yakiungana yanaweza kuchakaza taifa lolote likapoteana. Mataifa hayo ni USA, UK na France. Kati yao hakuna ataye ingia vitani bila support ya wengine. USA pamoja na power aliyo nayo hawezi kuingia vitani bila ya support ya UK na France. Hizo nchi tatu ndo NATO yenyewe. Hao ndo mabwana wa vita katika dunia hii. Sio kwa miaka iliyopita wala leo au kesho. Kwa sasa hakuna mataifa yenye umoja wa vita kama USA, UK na Ufaransa. Na walivyo na akili wanahakikisha hakuna mataifa yanayofanikiwa kutengeneza umoja wa kupigana kama wao. Kwenye issue za vita wako vizuri kiteknolojia, kimbinu, kiuchumi na kipropaganda. Mataifa mengine kuja kuwazidi hao sio leo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭 HahaaaaUk ya Sasa inaweza kuchakazwa na jeshi la Tanzania Kwa muda wa siku Moja tu
Na mifano ipo. IRAQ alivyoiteka KUWAIT yote ndani ya siku TATU , haukupita mwezi NATO na vibaraka wa Kiarabu walienda kuikomboa KUWAIT.Was***ge tu Hao hawana jipya Kwa sasa Putin Kesha waambia wafunge Midomo kama ni wanaume kweli wamvamie kama ambavyo walivyo Fanya Kwa Saddam na Gadaffi tuone ,
Wamemjaza upepo zelensky kuwa watamuunga na jumuia ya NATO mwenzao anapigwa mpaka Leo hii wamebaki kumtazama Tu what a foolish kama kweli hawa waogopi Russia wakati Russia anaivamia Ukraine kwanini wasingefanya haraka haraka kumuunganisha zelensky ktk huo umoja wa NATO ili Russia Atakavyo ipiga Ukraine wapate kumchangia ni nini wanacho kuogopa haswaa!?
Unaishi sayari ipi ndugu. UK ina malkia? au malkia wa nyuki?Weee weeeh weeeee mama mkanye mwanao katika mistake kubwa Putin atafanya ni kuibeep Uk. Ivi Putin ataanzajeee anzage kuivamia uk, nchi ina malkia kama hajuii nguvu ya malkia basi ajaribu.
GDP ya uingereza ni ngapi kwa sasa kulinganisha na ya Urusi? Na Military position yake ipoje?
uk waoga tu na wamebaki na mdomo kama m bongo vitendo hakuna. Tazama anatishiwa vita vya mtandao anapiga kelele kweli anauwezo wa kusimama mwenyewe akapambana siamini. Ngoja inyeshe tuone panapo vuja.Kwamba
You seeNa mifano ipo. IRAQ alivyoiteka KUWAIT yote ndani ya siku TATU , haukupita mwezi NATO na vibaraka wa Kiarabu walienda kuikomboa KUWAIT.
Hilohilo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭 Hahaaaa
Hili jeshi letu la wavunja tofali kwa meno au ?
Yupo kaburini kama anataka kumwamusha Mi sipooUnaishi sayari ipi ndugu. UK ina malkia? au malkia wa nyuki?