Brother kufanya UI/UX designing sio kupoteza muda!!Wewe kwanza hapo naona shida kadhaa, hizo red margin ni za nn hapo kwenye hizo picha za donut na popcorn, pia hapo ingetisha zaidi ikiwa hizo picha zingekua rounded edges.
Af bongo wengi unao waona wanatengeneza hizo App wengi wao ni full-stak, so muda wa kubembelezana na UI hua hawana.
Kazi nzuri.Brother kufanya UI/UX designing sio kupoteza muda!!
Ni creativity ambayo unakuta hata madeveloper wengi hawana, ndio maana bongo application au website nyingi ni za kawaida sana, na ukifwatilia unakuta nyingi zinafanana. Kwasababu inakuta developer anafanya kwa mazoea. Ngoja nikionyeshe kazi zangu zingine aiseeView attachment 2864682
Dah we jamaaa uko vizuri sana nimepend hii kazi unafanya Architect ya UI/UX kwa application na Website ya Bidhaa kama hiyo kwa bei ganiBrother kufanya UI/UX designing sio kupoteza muda!!
Ni creativity ambayo unakuta hata madeveloper wengi hawana, ndio maana bongo application au website nyingi ni za kawaida sana, na ukifwatilia unakuta nyingi zinafanana. Kwasababu inakuta developer anafanya kwa mazoea. Ngoja nikionyeshe kazi zangu zingine aiseeView attachment 2864682
Brother kufanya UI/UX designing sio kupoteza muda!!
Ni creativity ambayo unakuta hata madeveloper wengi hawana, ndio maana bongo application au website nyingi ni za kawaida sana, na ukifwatilia unakuta nyingi zinafanana. Kwasababu inakuta developer anafanya kwa mazoea. Ngoja nikionyeshe kazi zangu zingine aiseeView attachment 2864682
Hii ndo kwa kitaalamu tunasema,Acha kudanganya watu wazima na mapicha yako ya ku download online
Shoes Retail Mobile App
Shoes Retail Mobile App designed by DRY for One Week Wonders. Connect with them on Dribbble; the global community for designers and creative professionals.dribbble.com
Oyaaaah 🥶Acha kudanganya watu wazima na mapicha yako ya ku download online
Shoes Retail Mobile App
Shoes Retail Mobile App designed by DRY for One Week Wonders. Connect with them on Dribbble; the global community for designers and creative professionals.dribbble.com
Nakutengenezea UI design ya App, Website, Software as service (SaaS) kwa being yoyote ukihitaji kuona kazi nilizowaifanya naweza kukutumia Portifolio.Dah we jamaaa uko vizuri sana nimepend hii kazi unafanya Architect ya UI/UX kwa application na Website ya Bidhaa kama hiyo kwa bei gani