Uhusiano upo matatani

Kwa hiyo huyo binti ndo kakuhadithia hayo wewe? Ama kweli Mulugo katuachia majanga!
 
Makubwaaaa! Madogo yana nafuu,nyuki awachokoze yeye wanatoka analalama! Alijua ni jiwe hilo?!?
 
Kwa hiyo huyo binti ndo kakuhadithia hayo wewe? Ama kweli Mulugo katuachia majanga!

ndio ameni hadithia unaweza ukashindwa amini lakn kweli kabsaa na naomba uelewe kuwa wao wanatatizo ktk mahusiano yao ivyo ilikutatua nilazima kuomba ushauri naili mtu akuelewe zima umwambie kinacho kusibu
 
Mmezoeana sana aisee
 
Mmezoeana sana aisee

unajua ktk pirika zamaisha unaweza kutana nawengi namkafanya mengi mengine yakawa mazito sana mfano upo safarini nahakuna umjuae unaweza kuwapa habari ambayo ucngependa wanaokujua waijue lkn kwakuwa upo nawasio kujua ukaona sawatu kwahuyu mdada mambo yalianza taratibu kwakua tulianza kufahamiana nakusaidiana kama marafiki wakawaida nakubadirishana mawazo pamoja nakupeana miongozo kwakua nirafikiangu hata nilipo amua kuandika ili tupate ushauri wawengi tulikubaliana kwanza na ataporudi kutoka kwenye majukumu yake naamini ataona mawazo yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…