Uhusiano upo matatani

imekaa kingono zaidi so huko watu ndo watafunguka pamoja na kutupia mapicha

dah! kumbe! ila nadhan huko kutakua namaneno makali unajua badhi yaushauri badala yakujenga unabomoa acha nikomae hapahapa kunawengine wanatoa mawazo yenye kufikirika mf. nilikua cjui hata kama jamaa anaweza kuwa nania ya ushirikina
 
Una umri gani wewe???tunaweza tukawa tunatoa ushauri kwa watoto wetu humu.
 
Enhe! Kafanyaje tena? Kwanza umefanya niliokuambia jana mwanangu? Sasa ni saa 11:13pm, mda usipite

baba kasema ule vizuri ushibe anabonge ya surprise leo yako.... kasema ukija unanjaaa leo utakoma ila na yeye anakkupikia kitu kitamu
 
Duh mtu akikuchoka bana, yaani hadi anatia vidole na bado anataka iwe kavu.....!!
 
Una umri gani wewe???tunaweza tukawa tunatoa ushauri kwa watoto wetu humu.

umri wamimi ni 32 umri wahuyo dada ni 24 nahuyo jamaa yupo juu kidogo wa huo umri wahuyo dada na ninadhan anaweza kuwa na miaka 27 had 29 hivi funguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…