Uhusiano upo matatani

fundi msati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
219
Reaction score
92
HABARI WADAU kunatatizo limemkuta mdada mmoja na anaitaji msaada ameishi nampenzi wake takriban miezi mi 3 sasa

Lakini mpenzi wake amehisi kusaritiwa akaazisha upekuzi kabambe akawa akikaa nampenzi wake chumbani anaamza kumshika nyeti zake huyo mdada namwenyewe anadai akiguswa na hoyo jamaake analegea kinoma navimaji ukeni vinajitokeza

Sasa mwanaume anamshutumu kuwa alimkagua ili aone kama alikua katoka kufanya mapenzi mdada anadai nihali yake yakawaida ila jamaa kachelewa kuifahamu na aamini kuwa yupo ivyo akidai hakuna kitu kamaicho mchango wenu please.
 
^^
Utoto raha sana, mkiamua mnacheza kombolela chumbani, au mnaimba ukuti ukuti, mkichoka mnaanza kuimba 'kasimama peke ake kumsaka mchumba wake..'
Waache wakue
^^
 
Khaaaaa!
 
Duuuuuu!!!!!!!!!!! hii mupya...... Ila kweli ukiondoa mazombi lazima utabakia na mazombie.
 
lipi ilo hata mm nataka wa changie wakubwa wanao jua kuacha na kuachwa namaumivu yamapenzi wanayajua niambie ni post jukwaalipi?

imekaa kingono zaidi so huko watu ndo watafunguka pamoja na kutupia mapicha
 
Mwambie huyo dada akimbie fasta huenda jamaa ansingizia anamkagua kumbe aliambiwa na mganga apeleke maji ya ukeni ili akatoe kafara.....hebu okoa fasta maisha yake".......mna hila nyingi moyoni mwa mtu"
 
Kama mpenzi wake anaitwa Koku au Kemilembe hakuna shida.
 
Mwambie huyo dada akimbie fasta huenda jamaa ansingizia anamkagua kumbe aliambiwa na mganga apeleke maji ya ukeni ili akatoe kafara.....hebu okoa fasta maisha yake".......mna hila nyingi moyoni mwa mtu"

EBANAEE KUMBE Eh ngoja nitamuuliza kam jamaake anatabia yakwenda kwa waganga ilinalo jipya
 
Mie nikajua kuna Janga kumbe hilo la kitoto yelewiii mambo ya kukaguana nini tena??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…