alijificha wapi mkuu..............mbona hukutoa wazo mapema afanyenini coz naona umepata wazo baada ya kuona picha hyo...............mmebaki kusafiria nyota za wenzenu tu magamba.......
Msiwe wana.fiki kuiponda CDM kila jambo. Tena bora hata ya Dr. Slaa. Huyo Raila na Kalonzo walikimbia kabisa nchi wasishuhudie mwenzao anavyoapishwa.
Ila siasa haiishiwi vituko. Leo wamejipeleka wenyewe.
Ulitaka anune kama Padri au Askofu
mm sijaelewa maana hata Odinga kacheka sasa sijui binadamu tunatakaje zaidi ya kuwatisha binadamu kuwa watajuta
Hata Mose alipowavusha WanaIsrael toka kwa Farao bado walimlaani