Uhuru haliuzi,wanafoji habari za Chama kiongozi CDM,ili walau wapate wateja hawajui wao ni sawa na mwehu.MTAANI HATULITAKI TENA LABDA WATUPE BURE TUSOKOTEE TUMBAKU.
Gazeti la CCM Uhuru linaongoza kwa habari kwamba CDM imepasuka na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu mkuu Dr Wilbroad Slaa wamerushiana maneno makali katika kikao cha siri mwandishi anachodai amenasa habari zake zote.Pia gazeti limeendelea kudai kwamba mikutano ya CDM mikoa ya kusini imekosa wahudhuriaji na wazee wamekikataa chama hicho kwa madai ya ukabila uliokithiri.
My Take:
Mimi ninadhani ni bora CCM ikahangaika kutekeleza ilani yake ya uchaguzi kuliko kupika propaganda ambazo hazina mashiko tena kwa Watanzania.Pia wanapaswa kujua kwamba watanzania wanakiamini CDM kama chama na sio kwa ajili ya Personalities za watu.Hivi utamdanganya nani kwamba mikutano ya CDM inasusiwa wakati kila siku watu wanaona umati wa watu kwenye mikutano yake kupitia taarifa za habari ITV?
Mkuu The Invincible umesahau MwanahalisiHuo ndio ukweli. Kwa muda mrefu sana sijaona watu wakiichangamkia hii toilet paper. Magazeti bora bongo ni Mwananchi, Nipashe na Tz Daima.
huo ndio ukweli. Kwa muda mrefu sana sijaona watu wakiichangamkia hii toilet paper. Magazeti bora bongo ni mwananchi, nipashe na tz daima.