Mabasi yapo mengi. Kama mfuko unaruhusu kwea pipa, Coastal wanatua Tanga airportNacharo walianza huduma zao kwa uzuri na walijijengea heshima kubwa kwa barabara ya Tanga to Dar na hivi karibuni walianza route ya Tanga to Dodoma. Kutoka na kutanua huduma zake imefikia hatua ya kuajiri vijana watata na wahuni kwenue ofisi zake za Dodoma na Tanga kwani wamekuwa na utaratibu wa kukatisha ticketi siti 1 watu zaidi ya mmoja mnagongana abaria, hii ni kadhia imewakumba abiria wengi na wanalalamika kwa uhuni wanafanyiwa. Boss wa kampuni hii mnaofahamiana naye mwambieni au tunaombeni namba zake
Kweli kabisa nacharo wako na hili tatizo binafsi mimi niliwa panda hiyo gari kutokea Tanga nikashukia segera baada ya malumbano ya kutokupata sitiNacharo walianza huduma zao kwa uzuri na walijijengea heshima kubwa kwa barabara ya Tanga to Dar na hivi karibuni walianza route ya Tanga to Dodoma. Kutoka na kutanua huduma zake imefikia hatua ya kuajiri vijana watata na wahuni kwenue ofisi zake za Dodoma na Tanga kwani wamekuwa na utaratibu wa kukatisha ticketi siti 1 watu zaidi ya mmoja mnagongana abaria, hii ni kadhia imewakumba abiria wengi na wanalalamika kwa uhuni wanafanyiwa. Boss wa kampuni hii mnaofahamiana naye mwambieni au tunaombeni namba zake
Mabasi yapo mengi. Kama mfuko unaruhusu kwea pipa, Coastal wanatua Tanga airport
Kweli kabisa nacharo wako na hili tatizo binafsi mimi niliwa panda hiyo gari kutokea Tanga nikashukia segera baada ya malumbano ya kutokupata siti
Mabasi yapo mengi. Kama mfuko unaruhusu kwea pipa, Coastal wanatua Tanga airport
Mabasi ya KIMOTICO kutoka Njombe/Mbeya kwenda Arusha Muziki mkubwa utadhani disco.Nacharo walianza huduma zao kwa uzuri na walijijengea heshima kubwa kwa barabara ya Tanga to Dar na hivi karibuni walianza route ya Tanga to Dodoma. Kutoka na kutanua huduma zake imefikia hatua ya kuajiri vijana watata na wahuni kwenue ofisi zake za Dodoma na Tanga kwani wamekuwa na utaratibu wa kukatisha ticketi siti 1 watu zaidi ya mmoja mnagongana abaria, hii ni kadhia imewakumba abiria wengi na wanalalamika kwa uhuni wanafanyiwa. Boss wa kampuni hii mnaofahamiana naye mwambieni au tunaombeni namba zake
Mabasi ya KIMOTICO kutoka Njombe/Mbeya kwenda Arusha Muziki mkubwa utadhani disco.
Halafu kelele za kiswahili swahili za makonda/dereva muda mwingi.
Tajiri fuatilia tabia za watumishi wako kwenye mabasi.
Hata mabasi ya Kapricon wahudumu wao wana tabia za kiswahili swahili.
Abiria wanaojielewa wanasita kupanda mabasi hayo!!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama mimiSisi tunapanda Ndege
Funguka mkuuUkienda Tanga pale barabara ya 16 utazikuta taarifa zotee za huyu bwana kwa vijana wa maeneo yale
Ile mishangazi yenye makope bandia inayokatisha tiketi pale barabara 16 sometimes hawapo makini, kuna mtu mmoja nae alishawahi kufanyiwa huo mchezo na hao wadada. Naona mmiliki kawaamini sana wanawake maana wakatisha tiketi na utingo ni wanawakeNacharo walianza huduma zao kwa uzuri na walijijengea heshima kubwa kwa barabara ya Tanga to Dar na hivi karibuni walianza route ya Tanga to Dodoma. Kutoka na kutanua huduma zake imefikia hatua ya kuajiri vijana watata na wahuni kwenue ofisi zake za Dodoma na Tanga kwani wamekuwa na utaratibu wa kukatisha ticketi siti 1 watu zaidi ya mmoja mnagongana abaria, hii ni kadhia imewakumba abiria wengi na wanalalamika kwa uhuni wanafanyiwa. Boss wa kampuni hii mnaofahamiana naye mwambieni au tunaombeni namba zake
Hahaha mishangaziIle mishangazi yenye makope bandia inayokatisha tiketi pale barabara 16 sometimes hawapo makini, kuna mtu mmoja nae alishawahi kufanyiwa huo mchezo na hao wadada. Naona mmiliki kawaamini sana wanawake maana wakatisha tiketi na utingo ni wanawake
Suala la kugonganishwa ticket halijaanza leo na sio magari hayo pekee. Mambo ya stendi hua ni mlolongo wa hatari na uongo mwingi. Kama hutaki hii vurugu fanya yafuatayo
1. Kama unasafiri mara kwa mara tafuta agent mmoja alie makini uwe unamcheki kwa sim anakukatia ticket mapema.
2. Ukienda stendi, mostly vishoka wataanza kukung'ang'ania, we waambie umekuja kuchukua mzigo kwenye gari husika hivo wakuelekeze ofisi yao. Ukifika ofisini kata ticket hapo maana hapo ndo kuna main chart ya siti. Na pia hakikisha unaona namba ya ticket yako ikijazwa kwenye chart.
3. Jitahidi siku ya safari uwahi kupanda gari ili akija mtu kusumbua yeye ndo akapamvane na konda
itakiwa aina ya bajaji hiyo ndegeSisi tunapanda Ndege