D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,059 Jul 5, 2021 #61 Nyumisi said: Wakienda huko na mikwara wanalainishwa na bahasha ya khaki... Click to expand... Mawaziri sio bahasha, wao ni mfuko ule watoto wanaoita shangazi kaja au sandarusi kabisa reminds Ala Tibaijuka
Nyumisi said: Wakienda huko na mikwara wanalainishwa na bahasha ya khaki... Click to expand... Mawaziri sio bahasha, wao ni mfuko ule watoto wanaoita shangazi kaja au sandarusi kabisa reminds Ala Tibaijuka
Doctor Ngariba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2020 Posts 616 Reaction score 982 Jul 5, 2021 #62 Mkuu hawa DSTV wanazingua nilikuwa nafuatilia mechi za Euro kupitia 224 na 225 mara paap wamekata aisee nilikereka mno.
Mkuu hawa DSTV wanazingua nilikuwa nafuatilia mechi za Euro kupitia 224 na 225 mara paap wamekata aisee nilikereka mno.
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,495 Reaction score 19,343 Jul 5, 2021 #63 Deceiver said: Mawaziri sio bahasha, wao ni mfuko ule watoto wanaoita shangazi kaja au sandarusi kabisa reminds Ala Tibaijuka Click to expand... Umenikumbusha ka pesa ka mboga....
Deceiver said: Mawaziri sio bahasha, wao ni mfuko ule watoto wanaoita shangazi kaja au sandarusi kabisa reminds Ala Tibaijuka Click to expand... Umenikumbusha ka pesa ka mboga....