JIONI HII NIMEONA MAAJABU NA JINSI WAJINGA WANAVYOWEZA KUWAONA WEREVU WAPUMBAVU
WAKATI MECHI KATI YA MANCHESTAER CITY ILIKWISHA ZAIDI YA NUSU SAA NAFUNGULIA ATN WAO WANAFANYA UCHAMBUZI WAKATI WA MAPUMZIKO ,MARA KIPINDI CHA PILI KIMEANZA WAKATI KINA KOLO TOURE NA MANCIN WANAOGA BAADA YA MECHI NGUMU
KINACHOSIKITISHA NI NAMNA MTANGAZAJI ANAVYOSISITIZA KUWA MECHI HIYO NI LIVE BILA CHENGA!
FUNGUA TV YAKO UANGALIE MPIRA LIVE! AFU KUSEMA UONGO NI DHAMBI JAMANI
AU NDIO TING ZAO ZA KICHINA ZINAWADANGANYA ......AHSANTENI STAR TV ,TUACHANE NA UHUNI WA TING!
:eyebrows:😛oaAU:yawn:
acha umbea mbona mechi ipo kipindi cha pili sasa? Bado mpira unaendelea,ukitaka kujua mechi imeanza saa kumi na mbili za africa mashariki.
siwezi omba radhi mpaka nieleweshwe..balotele ,mancin wapotimu gani! Au star tv walionesha balotel na mancini wa butimba!unawaonea bure ting, saa hii ni dk ya 83 ninapoandika hii post, man city 2, bolton 0. Iliyoisha ni ile ya liverpool na arsenal mkubwa. Omba radhi pls
ahsante mkuu mwenzio nina shahada moja tu sina ufahahamu wa kutosha !
Nimeangalia star tv mpira uliisha nusu saa wakati atn wapo kipindi cha pili inawezekana vipi hawa wakawa wanasema wakolive....hhebu nijuze
siwezi omba radhi mpaka nieleweshwe..balotele ,mancin wapotimu gani! Au star tv walionesha balotel na mancini wa butimba!
Startv hawajawahionyesha ligi ya uingereza Live hawana haki hiyo,ulichokiona statv ni mechi ya siku nyingi(marudio)
Startv hawajawahionyesha ligi ya uingereza Live hawana haki hiyo,ulichokiona statv ni mechi ya siku nyingi(marudio)
ahsante mkuu mwenzio nina shahada moja tu sina ufahahamu wa kutosha !
Nimeangalia star tv mpira uliisha nusu saa wakati atn wapo kipindi cha pili inawezekana vipi hawa wakawa wanasema wakolive....hhebu nijuze
[TD="class: title, colspan: 4"] England - Premier League[/TD]
[TD="class: match-light, width: 45"] 16:50[/TD]
[TD="class: match-light, width: 423, colspan: 3, align: right"]March 3 [/TD]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD="width: 45"] FT[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Liverpool[/TD]
[TD="width: 51"] 1 - 2 [/TD]
[TD="width: 186"]Arsenal[/TD]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD="width: 45"]90'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Blackburn R.[/TD]
[TD="width: 51"] 1 - 1 [/TD]
[TD="width: 186"]Aston Villa[/TD]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD="width: 45"] FT[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Manchester C.[/TD]
[TD="width: 51"] 2 - 0 [/TD]
[TD="width: 186"]Bolton W.[/TD]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD="width: 45"]90'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Queens Park R.[/TD]
[TD="width: 51"] 1 - 1 [/TD]
[TD="width: 186"]Everton[/TD]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD="width: 45"]90'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Stoke C.[/TD]
[TD="width: 51"] 1 - 0 [/TD]
[TD="width: 186"]Norwich C.[/TD]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD="width: 45"]90'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]West Bromwich A.[/TD]
[TD="width: 51"] 1 - 0 [/TD]
[TD="width: 186"]Chelsea[/TD]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD="width: 45"]90'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Wigan Athletic[/TD]
[TD="width: 51"] 0 - 2 [/TD]
[TD="width: 186"]Swansea C.[/TD]
nimekubali ,labda nilipitiwaa niliona wakionesha ulikuwa ni recoerded na nikadanganyika kuwa ni live kama wachambuzi walivyokuwa wanaeleza nikawaamini nikakurupuka kuwaponda atnkubali tu, umewaonea agape. Sema ting matukio yanachelewa kwa sekunde moja au mbili dhid ya star tv/super sport.
we rijamaa ondoa hiyo labda,leta kitu plainnimekubali ,labda nilipitiwaa niliona wakionesha ulikuwa ni recoerded na nikadanganyika kuwa ni live kama wachambuzi walivyokuwa wanaeleza nikawaamini nikakurupuka kuwaponda atn