lnox menel
Member
- Mar 11, 2017
- 48
- 26
Mm yeyote inayolima mahundi na shamba nataka ekari 5
Kilombero sehemu gani unataka?Mku Mimi nahitaji Kilombero ekari moja bei gani
Yoyote ambayo sio mbali na mjini yaani yale maeneo ambayo ninaweza kuwa ekari 15 na kujenga Mji wa kuishi hapohapo.Kilombero sehemu gani unataka?
Mku hiyo mwendokasi ya nini bus au trainLipo shamba maeneo ya lukobe....karibu na mwendo kasi....eka moja milion 5...ukiwa ready check me out
Lipo shamba maeneo ya lukobe....karibu na mwendo kasi....eka moja milion 5...ukiwa ready check me out
Mkuu...nilikuw natoa just direction...ukufika kihonda ni rahs kuelekezwa njia ya mwendo kasi ili kufika lukobe...au nyuma ya mazimbuKihonda mashamba bado yapo kweli
Mkuu...nilikuw natoa just direction...ukufika kihonda ni rahs kuelekezwa njia ya mwendo kasi ili kufika lukobe...au nyuma ya mazimbu