Nina uhitaji kama wako pia. Ukifanikisha usisite kuleta mrejesho. Mie nahitaji jogoo chotara mwenye afya nzuri kwa ajili ya mbegu. Nahitaji na vifaranga 50 chotara, vyote vipatikane Mwanza.!