Kaka mwisho JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 408 Reaction score 182 May 7, 2013 #1 Kwa waliomba kazi idara ya uhamiaji mwaka huu wametoa shortlist katika gazeti la mwananchi la jana tarehe 6/5/13 kwa aliyeomba hakikisha unalipata gazeti hili kujua kama umeitwa kwenye usahili.
Kwa waliomba kazi idara ya uhamiaji mwaka huu wametoa shortlist katika gazeti la mwananchi la jana tarehe 6/5/13 kwa aliyeomba hakikisha unalipata gazeti hili kujua kama umeitwa kwenye usahili.
R RUDVANNESTROOY Member Joined Dec 12, 2012 Posts 69 Reaction score 14 May 7, 2013 #2 Tuwekee majina humu kwenye JF
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,160 May 7, 2013 #3 RUDVANNESTROOY said: Tuwekee majina humu kwenye JF Click to expand... Kuomba ni vizuri zaidi maana hata kukupa tu hii taarifa amefanya hisani kubwa pia.
RUDVANNESTROOY said: Tuwekee majina humu kwenye JF Click to expand... Kuomba ni vizuri zaidi maana hata kukupa tu hii taarifa amefanya hisani kubwa pia.
M mattnard Senior Member Joined Oct 14, 2012 Posts 106 Reaction score 32 May 10, 2013 #4 tusaidie majina gazeti halionekani mdau cku zote huwa mnascan mnapost
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,878 May 11, 2013 #5 ndugu zangu tusaidiane kutuwekea majina ya waliochaguliwa,gazeti halipatikani wengne tupo mbal,sote tunahangaika tusaidianeeeeeeee watz
ndugu zangu tusaidiane kutuwekea majina ya waliochaguliwa,gazeti halipatikani wengne tupo mbal,sote tunahangaika tusaidianeeeeeeee watz
Kazakuku JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 354 Reaction score 110 May 11, 2013 #6 Tusaidiane jaman weken majina
Kazakuku JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 354 Reaction score 110 May 13, 2013 #7 pliease aliye na gazeti anicheki 0767589301
M MAN C Member Joined May 12, 2013 Posts 7 Reaction score 1 May 13, 2013 #8 Jamani mwenye gazeti anibeep0713830330
M mattnard Senior Member Joined Oct 14, 2012 Posts 106 Reaction score 32 May 14, 2013 #9 wametoa majina ishini na kitu tu kila nafi ina reserve wachache]