Protocol37 Member Joined Mar 18, 2016 Posts 32 Reaction score 19 Sep 10, 2016 #1 Wakuu habari. Naomba kufahamu huu uhakiki wa vyeti unafanyikaje. Maana hakuna taarifa rasmi tunakuwa tunasikia tu. kama kuna anayefahamu wanafanyaje anijuze.
Wakuu habari. Naomba kufahamu huu uhakiki wa vyeti unafanyikaje. Maana hakuna taarifa rasmi tunakuwa tunasikia tu. kama kuna anayefahamu wanafanyaje anijuze.
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,375 Reaction score 10,118 Sep 10, 2016 #2 hahaha uhakiki unaendelea ndugu,wenye vyeti feki wanajitumbua wenyewe kabla hawajafikiwa!wengi wamesha acha ajira zao..
hahaha uhakiki unaendelea ndugu,wenye vyeti feki wanajitumbua wenyewe kabla hawajafikiwa!wengi wamesha acha ajira zao..
N ntemintale JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 956 Reaction score 1,878 Sep 10, 2016 #3 Wanachukua vyeti vyako wanatoa copy au Ku scan, wanachukua taarifa, wanazipeleka NECTA na Vyuoni kujiridhisha. Ni hivyo tu.
Wanachukua vyeti vyako wanatoa copy au Ku scan, wanachukua taarifa, wanazipeleka NECTA na Vyuoni kujiridhisha. Ni hivyo tu.
Henry 14 Senior Member Joined Aug 13, 2016 Posts 118 Reaction score 37 Sep 10, 2016 #4 Hivi uhakiki mpaka ln