Ushauri wa bure; kwa wanaokaa off campus unatakiwa ukate gogo kabisa ukiwa huko huko off campus kabla ya kuja chuo, huku unaweza ukaadhirika, maji ya kuchambia hamna.
Tanzania ni nchi ya ajabu sana,ijapokua na wasomi wengi wa hydrolojia na enjinia maji Udsm lakini bado wanategemea maji ya dawasco na ya kununua toka visima binafsi.
Kweli elimu ya'mtanzania haimkomboi kwa chochote.

Umesahau kwamba elimu zetu ni za kutafutia kazi? Si dhani kama kuna Mtanzania ansoma kwamba aisaidie jamii, that is why unakuta chuo kama SUA wananunua chakula na chuo kimejaaa watalamu wa kilimo,