Hajawai kunywa ata siku moja kwahy akija akijua ni pombe awezi kunywa
hongera mkuu
Mbona povu mzee babaVijana wa sasa wameshapotea muda wote mnawaza uzinzi tu afu muda wakuoa mnataka kuoa ambaye hajatumika tutafika kweli kwa Bali hiii?
Ifikie mahali tubadilike andika nyuzi zenye kujenga afu ukishamtoa bikra Mwisho wa Siku unampotezea sasa maana yake nn?
Acha bikra yake ije itolewe na Mwanaume sahihi ambaye atamuoa acha kuaribu maisha ya huyo binti afu huna malengo nae
ama kweli hiki kizazi kiovu sana binafsi naitaji kuoa ambaye hajatumika sasa tutawapata wap? Kama mnaalibu watoto wa watu