wakuu salute kwenu.
nina diploma ya MECHANICAL ENGINEERING toka ARUSHA TECH. COLLEGE. huu ni mwaka wa tatu toka nimehitimu na kutokana na ukosefu wa ajira nimekuwa nikifundisha tuition mtaani kwetu. kwa sasa nini mpango wa kwenda kusomw diploma ya ualimu in technical education pale chuo chs ualimu KRRLLUU. kusema kweli changamoto kubwa ninayoipats ni kuwa kutokana na kwamba chuo kipo mkoano IRINGA na m
binafsi home ni MARA so sitakuwa na uwezo wa kugharamikia nauli za nenda rudi. kwahiyo naomba kama kutakuwa na mtu wa iringa humu atakayekuwa na uwezo wa kunistili pindi niwapo mda wa likizo anisaidie.
MWENYEZI MUNGU AWATANGULIE.