Pole sana mkuu kwa hili tatizo la mchumba wako. Machache ninayo yajua kuhusu hilo tatizo.
Ugonjwa hauambukizwi, hivyo ondoa shaka kuhusu wewe wala watoto atakao wazaa yeye mwenyewe.
Pia huo ugonjwa hauna athari kwenye maswala ya uzazi na kubeba mimba. Hivyo hata asipo tibiwa hakuta kua na shida.
Mwisho, goitre ni tatizo ambalo mtu anaweza kuishi nalo, japo kua hua inaongezeka kukua na kuharibu muonekano wa mtu.
Sent from my CPH1819 using
JamiiForums mobile ap