Bob Rhynoh
Member
- Nov 17, 2015
- 17
- 10
SCABOMA itakufaa au BBE.
Maelezo hayatoshi kujua tatizo lako likoje na linaweza kutibiwa kwa dawa gani.
Kimsingi ili ujue dawa ya kutibu tatizo ni lazima uwe unajua nature ya ugonjwa, appearance ya vipere, relief & aggreviating factor za hvo vipele. Vimeanzaje na kama na vinaambukizwaje pia na mambo mengi kama hayo. Lakini vinginevyo utapaka cream zote utakula vidonge vyote na hata sindano unaweza kuchoma bila relief...
Boss namm nina tatizo kama lako naomba jina la hiyo dawa uliyopata pleaseAsante sana mkuu kwa ushauri wako, ila nilipma pia km umesoma vzur maelezo yangu apo juu lakin majibu yakawa negativr,!
So far so gud nimekutana na watu tofaut wenye tatzo kam langu na wengn kunpa matumaini niende pahala flan ntapata tiba lakin hola!
Ila kwa sasa nimapata dawa ya kiSUNNI mana alonpa kasema alkua na tatzo km langu na akahangaika sana hosptl bila mafanikio,!! Npo ndo nimeanza leo asubhi kuipaka nione km itanisaidia,!!! NB: ni yakupaka,!
Boss namm nina tatizo kama lako naomba jina la hiyo dawa uliyopata please
Hata mm huo ugonjwa nimeupata na ninao
Ugonjwa huo ni surua....wengine tulipewa taadhari kabla haujafika...muwe makini na watoto wenu....
Naomba kujuzwa utatuzi wa tatizo hili la vipele mkononi[emoji848][emoji848]
Mimi unanisumbua Sana mwil unachemka vinatokeza Kama michilizi baada ya dakika kadhaa inapotea dawa za kupaka azisaidii yani anaejua dawa tafadhari
Bado ndo maana Niko apa
Tafuta mafuta ya nazi aina ya parachute ,baada ya siku tatu njoo ulete mrejesho, bei yake haizidi elfu 3[emoji848]