Usi generalize issues.
Kila issue ina ups and down, ingekuwa hivyo unavyodhani wagonjwa wako wote wangepona. Wapo wanaopona vs wapo wanaobaki na magonjwa yao vs wapo wanaokufa.
Uliyekutana nae bado alikuwa na factors zake nyingine pia. Tusiwakatishe watu tamaa kwa kuelewa au kutokuelewa kwetu.