N nsalu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 1,240 Reaction score 1,285 Dec 30, 2018 #1 Message…Wapendwa nauliza ugonjwa wa kisukari unaweza kusababisha kushuka kwa kinga ya mwili? Kufahamu kuhusu kisukari soma Vidonda Vya Kisukari: Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga
Message…Wapendwa nauliza ugonjwa wa kisukari unaweza kusababisha kushuka kwa kinga ya mwili? Kufahamu kuhusu kisukari soma Vidonda Vya Kisukari: Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga
Asclepius JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 694 Reaction score 730 Dec 30, 2018 #2 Ni kweli kabisa mkuu sukari ikizidi inaenda kuharibu kitu kinaitwa antmicrobial beta defensin peptides ambazo ni muhimu sana kwa ajili ya upambanaji na vijidudu Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli kabisa mkuu sukari ikizidi inaenda kuharibu kitu kinaitwa antmicrobial beta defensin peptides ambazo ni muhimu sana kwa ajili ya upambanaji na vijidudu Sent from my iPhone using JamiiForums
okyo JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,003 Reaction score 1,510 Dec 30, 2018 #3 nsalu said: Message…Wapendwa nauliza ugonjwa wa kisukari unaweza kusababisha kushuka kwa kinga ya mwili? Click to expand... Sina hakika japo maradhi yote kwa ujumla huweza sababisha kinga ya mwili shuka sio kisukari tu Sent using Jamii Forums mobile app
nsalu said: Message…Wapendwa nauliza ugonjwa wa kisukari unaweza kusababisha kushuka kwa kinga ya mwili? Click to expand... Sina hakika japo maradhi yote kwa ujumla huweza sababisha kinga ya mwili shuka sio kisukari tu Sent using Jamii Forums mobile app
msabillah JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 4,763 Reaction score 3,204 Jan 18, 2019 #4 S Sulayman, Mkuu unaniruhusu ni share sehemu mbalimbali watu wanufaike? Sent using Jamii Forums mobile app
S Sulayman, Mkuu unaniruhusu ni share sehemu mbalimbali watu wanufaike? Sent using Jamii Forums mobile app
msabillah JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 4,763 Reaction score 3,204 Jan 18, 2019 #5 S Sulayman said: Hakuna tabu share kadiri uwezavyo, pia kupata nakala zangu mbalimbali njoo nikuunge kwenye group langu la what's app Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shukrani! Sent using Jamii Forums mobile app
S Sulayman said: Hakuna tabu share kadiri uwezavyo, pia kupata nakala zangu mbalimbali njoo nikuunge kwenye group langu la what's app Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shukrani! Sent using Jamii Forums mobile app
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,371 Mar 28, 2019 #6 S Sulayman, Mkuu una ushahidi w watu waliopona kabisa kupitia dawa hii au ni promo za kibiashara tu