Appendicitis ni maradhi ya Kidole utumbo (appendix) ambayo hutokana na kuathirika aidha kwa kuchubuka au kushambuliwa na vijidudu kutokana na kukorofishika kwa utendaji kazi wake wa kushafirisha mucous kwenda kwenye sehemu ya utumbo mkubwa kutokana na sababu mbali mbali kama ifuatavyo:
Sababu:
kukwama kwa kinyesi, kujikunja kwa kidole utumbo, kuvamiwa na vijidudu vinavyoishi ndani ya utumbo hususan mkubwa ambao huwa unasafirisha kinyesi, saratani ya uchango, kilema cha kidole utumbo, hata vyakula hususan vyenye uwanga mwingi vikiingia hushindwa kutoka na hukwama ndani ya kidole tumbo.
Dalili:
Dalili kuu ni maumivu ya tumbo kwenye kichembe au kwenye kitovu (mara nyingi), ambapo humea kwa nguvu kila mda ukienda na kuhamia upande wa kulia baina ya mfupa wa gungu na kitovu (Mc Burneys point) na maumivu huwa makali sana ambayo sasa huambatana na kichefuchefu na kutapika tumbo kuwa gumu ukimgusa mgonjwa anaruka na kushindwa kutembea kwa maumivu makali na homa .
Utibabu (Hutafautiana kidogo baina ya chronic na acute lakini cha msingi ni) :
1. Dawa za kuua vidudu (antibiotics) sikutaji zipi
2. Dawa za kupunguza maumivu (analgesics)
3. Upasuaji (APPENDICECTOMY)
Madhara: Kama ukichelewa kutibiwa appendix inaweza kukosa damu kutokana na kubanwa, kuoza (gangrene) kupasuka, na kueneza uchafu ndani ya tumbo (peritonitis ) ambayo hatari sana.
Ushauri: kama unadalili za ugonjwa huu ni bora kumuona Daktari mapema kwani kwenye jamii takriban ya 70% huugua ugonjwa huu ambao ukiwahi kutibiwa mapema hauna tatizo kubwa kama ukichelewa.
Karibu tena.
Wandugu naomba kufahamu dalili za ugonjwa wa appendex. Pia naomba kufahamu matibabu yake. Vilevile nikifahamu visababishi vya ugonjwa huu itakuwa bora zaidi
Nawasilisha
Hahaaa naona sasa unataka kuwa daktari wa "appendicitis" sio appendex
Ningeomba nikujibu kwa mtiririko ulio mwepesi zaidi

Wakuu nashkuru kwa kuwa mumeridhikaMkuu nashukuru sana kwa maelezo haya ya kujitosheleza. May God bless you. Amen
Ulitumia dawa gani kupona mkuu?tunashukru wa kuu wa ufafanuzi maana hata mimi nilikuwa nilikuwa natatizo
ni upande wa kulia mkuu na si kushotoMaumivu ya tumbo upande wa kushoto hiyo ni dalili ya appendicitis
pole sana mi nilipona hili tatizo Kwa oparationWakuu nashkuru kwa kuwa mumeridhika
Asanteni wote
Tujifunze
Duuh apendix nne?Jamaa yangu alifanyiwa operation KCMC akatolewa Appendix NNE zikabaki mbili.
[emoji1][emoji1]Duuh apendix nne?