Nahitaji tiba na ushauri kuhusu hili.Kuna vipele(sundosundo) vimetokea sehem za siri kwenye ringi ya ume wala haviwashi ni miaka 5 sasa.Nimetumia baadhi ya dawa sioni mafanikio yoyote zikiwemo za magonjwa ya zinaa.

Ugonjwa wa Malengelenge
Husababishwa na virusi vya Herpes Simplex.Hivi vimegawanyika katika Herpes Simplex Virus-1 (HSV-1) na Herpes Simplex-2 (HSV-2).Virusi vya HSV-1 vyaweza ambukizwa kupitia ngozi laini (mucous membranes) za mwili na kubusiana.Huweza kusababisha mwasho kwenye midomo,ulimi,fizi za meno au kingo za juu za kinywa (buccal mucosa).Kwa upande wa virusi vya HSV-2 hivi huweza kusababisha michubuko na maumivu kwenye uume,uke na njia ya haja kubwa.
Katika kiwango cha juu cha ugonjwa viungo vingine vya mwili kama macho, njia ya chakula, mfumo wa fahamu na na njia za mfumo wa hewa huathirika.
Dalli balimbali za ugonjwa huu ni malengelenge (blisters), mwasho na muunguzo.Kushindwa kumeza au kupata maumivu wakati wa kumeza (haswa chakula),tezi kuvimba na maumivu wakati wa haja kubwa au ndogo.
Kama umakwenda Hospitali hujapona mimi ninakupa dawa Fanya hivi :
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama
saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili
vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri
unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako kutotapika itarudi kawaida. Tumia hii dawa kwa muda wa
siku 7 kila siku asubuhi kisha uje unipe feedback.
Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda
unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!