naomba kuuliza swali....kusikia mwilini kama vitu vinachoma choma hivi halafu sometimes kama kuna vitu vinatembea mwilini na pia huwa mwili unawasha..Tatizo linaweza kuwa ni nini?
naomba kuuliza swali....kusikia mwilini kama vitu vinachoma choma hivi halafu sometimes kama kuna vitu vinatembea mwilini na pia huwa mwili unawasha..Tatizo linaweza kuwa ni nini?
si busara sana kutoa majibu kama haya we jamaa nakuonaga sana kule jukwaa la mapenz ukimw hauwez kuutambua kw dalili magonjw meng yanafanana siku hiz nadhan mtoa mada hajui kujieleza vizur
Pole mm mwenyew na tatzo hlo ila cjui mpak sahv ni nn japo wengne wanasema upungufu Wa vtamn B wengne wanasema hovu iliyoptiliza wengne ksukar wengne matatizo ya Neva hata havielewek
Achana na huyo anakutsha mm nlikuwa kama ww juz nmeenda kupma nkambiwa na uti nmemeza Dawa za uti na minyoo nmemalza doz Leo cku ya 2 cjaskia tena kuchomwachomwa xo na ww Fanya hvyo itakuwa minyoo au hyo uti