Hapana,Mimi sihusiki Bali niliwasikia wakati wakigombanaWewe ndio mgongaji hapo manake unaonekana kama uko upande wa utetezi wa mwanamke
Anatuzalilisha vidume,mana sio kwakilio chake ichowewe ni mvulana eeehhh?? mwanaume hawezi hangaika na porojo kama hizo....jichunguze vema...
Anaogopa mana heshima itapunguzwa kwakeUandishi wa mwendo kasi, ila huyo kidume hana sababu ya kulalama kama ameshindwa kuwajibika ipasavyo atulie tu demu wake amuonyeshe alichokuwa anafanyiwa na ma ex wake
Kwa mwanaume inakua ngumu mana anaona kama kadhalilishwa ju ya ilo.Apokee tu mabadiliko ya style si watu wanajifunza mambo mapya kila kukicha na sio lazima afundishwe na mtu mwingine anaeza akawa kajifunza kupitia mitandaoni tu
Hello!wadau mpo wazima,kwa upande wangu nipo gud.niende kwenye mada husika,kuna wapenzi wamegombana kisa mwanaume kabadilishiwa style na mpenzi wake ivyo anamshutumu kua kaanza kugongwa na muuni(mjuzi wa mahaba)cz kamuonesha k2 ambacho kidume hajawahi kumfanyia mpenzi wake huyo ktk mahusiano yao ya siku zote.Je kunasababu ya kidume hiki kulalama?
Hahahaaaa!lol!!!anatoka walipo wakina ngosha
Naona bado yupo analogy wkt wenzake wamehamia digitalaache ushamba kwani mwenzie hata majarida hasomi?? kuna vitabu siku hizi vinaelekeza