UGanda watimua Kocha

Ben Jack

Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
66
Reaction score
5
Timu ya taifa ya uGANDA imemfukuza kocha wa JBwilliam kwa kufanya vibaya kwenye mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia nchini Brazili dhidi ya Timu ya Liberia.Licha ya kuwa kocha huyoy ameshinda mara 4 kombe la ukanda wa Africa Mash n kati.Pia ameshindwa kuifika Uganda fainali za mataifa ya Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…