Kama kuna mtu yupo Uganda. Napenda kusoma hiki chuo online kwa master ya sayansi IT online.
Naomba kujua uzuri wa hiki chuo. Nimeshapata usajili wa chuo. Nataka kuanza nikiwa hapa Tanzania. Nimependa ada zao nzuri pia course zao walizoweka ni nzuri, afforfable sisi wenye uchumi wa chini mil 1,054,000 kila semester.