VETA nao walitengeneza bila kuutangazia ulimwengu au Pengine walikuwa wanajikosha kwetu tu Gari likitoka posta linazimikia mnazi mmoja hapo unatakiwa ucharge tena..
Wazungu washatengeneza wakaona hayawezi kuwa na maisha Marefu au pengine kuwe na vituo vingi vya kuuza betri zenye charge full
Muisrael alivyopanga 2008 na keshamaliza kazi yake ni kuuza teknolojia tu