Wanachi wote tunaoaswa kufahamu haki zetu kikatiba zikiwemo kushiriki uchaguzi mkuu 2025. Kufautiwa na ufunguzi wa kampeni zitakazo Anza tar 28.08.2025 tu aalikwa wote kufika viwanja vya Tanganyika packers tukamsikilize mgombea wetu katika yake aliyo tuandalia .