Wakuu natafuta pia GS breed mwenye nayo ani PM!Pia angalizo ni lazima niwaone wazaz wa huyo puppy nlishapigwaga mchanga,nkanunua kumbe cha uswazi kilikua kimeshiba tuu.
Ukipata local waliochanganya kidogo nafikiri inapendeza zaidi kama hao wangu nilio post hapo. Kwanza gharama ni nafuu kununua na pia vyakula hawasumbui.
Mbwa ni matunzo tu! Unaweza kufuga local kisasa watu wakashangaa walivyo bora. Hao wangu nawapiga Menu wakifika 6 months naamini watakuwa tofauti kabisa.