john hotsam da1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 396
- 79
Ndio mkuuUnataka kwa ajil ya kuuza au
Baadhi ya maduka ya dawa za mifugo huuza puppies au huwa na connections za wafugajiHivi pure breed kama ya Germany Shepherd, Rottweiler n etc kinyumbani hapa TZ wanaweza patikana wapi?
Nitacheki nao, si pale kwa Dr Sinare (am not sure with the name kama lipo sahihi) ila am sure ndio hapo unapo pazungumzia.Baadhi ya maduka ya dawa za mifugo huuza puppies au huwa na connections za wafugaji
Mf ni pale Moroko right after yard ya magari
Ila ukipata connection ya direct na mwenye puppies bila middle man huwa ni bei poa zaidi
Kama unamaanisha pure as pure, utadanganywa...ni raia wachache sana wana hiyo breed, na hata wakiwa nayo inakuwa crossed sana. Labda ujaribu taasisi Kama polisi etc.Hivi pure breed kama ya Germany Shepherd, Rottweiler n etc kinyumbani hapa TZ wanaweza patikana wapi?
Kuna breeder wana pure breed na wengi wanawanunua kwenye breed association kama umefuatilia hizi thread nilisema ukiwa na pure breed una mreguster kwenye association ya breeder wa hyo breed hvyo basi soko hutegemei tanzania na mfano mtoto w rotwailer wa miezi miwili ni usd 800..Kama unamaanisha pure as pure, utadanganywa...ni raia wachache sana wana hiyo breed, na hata wakiwa nayo inakuwa crossed sana. Labda ujaribu taasisi Kama polisi etc.
Jinsi ya kupata hizo association kibongo bongo siochangamoto kweli, maana la sivyo ukinunua nje ya TZ gharama itaongezeka.Kuna breeder wana pure breed na wengi wanawanunua kwenye breed association kama umefuatilia hizi thread nilisema ukiwa na pure breed una mreguster kwenye association ya breeder wa hyo breed hvyo basi soko hutegemei tanzania na mfano mtoto w rotwailer wa miezi miwili ni usd 800..
ukifuga wale wenye mafuta utapata soko zuri sana IRINGA na NJOMBEWazo zuri mkuu, if you do the math hapo kuna faida kubwa tuuh cha muhimu ni mbwa wale vizuri na wawe na usimamizi mzuri.
Sidhani kama hili ni jukwaa la utani mkuu!!ukifuga wale wenye mafuta utapata soko zuri sana IRINGA na NJOMBE
Kweli unakula faida tuuh,Sidhani kama hili ni jukwaa la utani mkuu!!
Nilinunua rottweiler 2 dume na jike mwaka 2014 kwa 3.6m(1.8 @) jike amezaa mara ya kwanza watoto saba nikauza kila mmoja laki saba,mara ya pili amezaa watoto sita na nimeuza kwa million @,sasa hivi Nakula faida tuu
mkuu unapatikana wapi na mimi nije nichukue maujuzi.Mimi nimtaalam wa mbwa nimepata na mafunzo msalum miez 6 na hapa nipo nao hata sahv hyo bznezz ni more profitable hata mfugaji wa ngombe awez kukugusa,for more info,,,tuwacliane.
Hiyo k kwenye 300 ina maana gani?halafu mimi kila mbwa ninayemfuga kwa ajili ya ulinzi ikifika usiku akimuona mtu anakimbia kujificha!tatizo ni nini?Habari za muda huu wakuu,
Nimepitia nyuzi nyingi jukwaa hili kwenye upande wa ufugaji nimeona asilimia kubwa wamejikita kwenye ufugaji wa kuku,inaelekea inalipa hii! Anyway me nmekuja kivingine,hili ni wazo tu na kama nikiridhika nalo sana naweza fanya kweli (make it reality),nakukaribisha
Suala zima liko hivi;
Nanunua mbwa wadogo (puppies) wa aina(breeds) zinazopendwa mf german/australian shepherd, Rottweiler or poodle say few females n a single male roughly each costs 300k tzs.
Banda ninalo(nafugia local breeds currently) so ni kubadilisha matumizi tu hapo Mbwa mmoja anakuwa tayari kushika mimba kwenye umri wa mwaka 1-2 (recommended) na baada ya miezi miwili atazaa.Tuseme bei ya mbwa mdogo kipindi hicho itakuwa 350k na nna average ya vitoto vitano..do the arithmetics!!
Nimeelezea wazo langu kwa ufupi na bado sina ujuzi mkubwa kuhusiana na mfugo huu.naelewa chakula ni gharama bila kusahau chanjo kila mwezi ila nna imani baada ya miaka miwili itakuwa ni mradi wenye tija
Nishauri tafadhali!!
K inamaanisha elfu hivyo 300k tzs ni 300,000 tzsHiyo k kwenye 300 ina maana gani?halafu mimi kila mbwa ninayemfuga kwa ajili ya ulinzi ikifika usiku akimuona mtu anakimbia kujificha!tatizo ni nini?