K keki tamu Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19 Reaction score 4 May 1, 2015 #1 wadau naomba kujua namna ya kufuga kuku wa kienyeji
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 May 1, 2015 #2 Kabla hujauliza tafuta hhumu jf kwanza,watu wamepost sana ufugaji wa kuku!
L lukelo sakafu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 2,938 Reaction score 517 May 1, 2015 #3 mkuu nenda interchick
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,891 Reaction score 5,063 May 1, 2015 #4 Kuna miuzi kibao humu juu ya ufugaj wa kuku acha uvivu wew,
M MLERAI JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 667 Reaction score 275 May 1, 2015 #5 Nenda jukwaa la ujasiriamali utapata msaada mkubwa sana
M Mwanachama Sahihi JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 572 Reaction score 217 May 1, 2015 #6 keki tamu, JF ni zaidi uijuavyo. Jaribu kutafuta hiyo kitu. Imejadiliwa kwa kina sana humu ndani. TAFUTA MKUU. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
keki tamu, JF ni zaidi uijuavyo. Jaribu kutafuta hiyo kitu. Imejadiliwa kwa kina sana humu ndani. TAFUTA MKUU.
K keki tamu Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19 Reaction score 4 May 4, 2015 Thread starter #7 nimekupata mwanachama sahihi
Kig JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 1,079 Reaction score 468 May 4, 2015 #8 Hata tarehe yako ya kujiunga JF inakutetea kuwa wewe ni mgeni na JF. na hujui nini ukiandike au ukipate wapi. Fungua business and economic forum utapata kila unachihitaji kuhusu ufugaji wa kuku.
Hata tarehe yako ya kujiunga JF inakutetea kuwa wewe ni mgeni na JF. na hujui nini ukiandike au ukipate wapi. Fungua business and economic forum utapata kila unachihitaji kuhusu ufugaji wa kuku.
M MjombaRiziki Senior Member Joined Feb 14, 2013 Posts 145 Reaction score 129 May 4, 2015 #9 Moja ya hiyo "miuzi" ni hii hapa; https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=2010300
M MjombaRiziki Senior Member Joined Feb 14, 2013 Posts 145 Reaction score 129 May 4, 2015 #10 Wakuu SAMAHANI!! UZI niliounukuu hapo juu sio wenyewe. Wenyewe ni huu; https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=2610300
Wakuu SAMAHANI!! UZI niliounukuu hapo juu sio wenyewe. Wenyewe ni huu; https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=2610300
K keki tamu Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19 Reaction score 4 May 4, 2015 Thread starter #11 nashukuru wadau kwa kunielekeza maana mimi ni mgeni hapa jf nashukuru kwa ushirikiano wenu